Wednesday, 19 October 2011

monthly trainings!!


training inaendelea!! hapa ni majadiliano sasa ur views are highly respected!! this was monthly training on crop inspection held at Lyamungo.

 mshauri Alunas nikiendeleza darasa! kama kawaida! hapa unatoa point tunaweka ubaoni then tunaijadili pamoja!
love my job so so!!  shukran kwa wote tunaoshirikiana kuhakikisha kazi inaenda especially FT's pamoja na wakulima bila kuwasahau fellow washauri Hadija and Peter!!

No comments:

Post a Comment