Tuesday, 4 October 2011

last training at Moshi field office...........TNS!!

kama kawaida ya training mpasho aka ice breaker muhimu ili ktuweka fiti tayari kwa somo!!
hapa mshauri aliktoa mpasho wa kukata na shoka!! mjanja anatakiwa kuwahi nafasi kwenye hili kartasi kila linapokunjwa!!
baada ya mpasho darasalinaanza tena kwa upande wa shambani sasa, 2nakumbushana kidogo kabla ya kuingia shambania!!!!

No comments:

Post a Comment