kufanya ambacho moyo wangu unapenda ndo furaha halisi katika maisha yangu!! and this is it!!! join me in my happiness moments !!
Wednesday, 19 October 2011
kutoka maktaba!!
ilikua jumamosi tarehe 21 ya mwezi wa nane ,2010, hapo ni korogwe Highway! tukitokea dar kwenda Moshi kuripoti kazini kwa mara ya kwanza! TNS juuuuuuuuu!! thank God!!
this is so nyc!
ReplyDelete