Tunamshukuru ungu kwa mvua maana mazao yanastawi hivyo kutuondolea wasiwasi wa ukame na janga zima la njaa! lakini kama ilivyo ada ya miundombinu yetu wakati mwingine inafanya watu wachukie mvua au jua yani ni mvurugano! mvua zikinyesha hali ndo hii!! hapo ni maeneo ya Mula Siha, tukitokea Kyeeri!!! tulikwama almost kwa nusu saa!! tunashukuru wasamalia waliojitokeza kutusaidia!!!
na jual likiwaka hilo vumbi sasa!! JUA NA MVUA BORA NINI ............................!!!!
