Thursday, 1 December 2011

BASELINE SURVEY MBEYA!!!!!

 Its time tena!! ni baseline survey for new clients in Mbeya!!! thank God its over safely and with great succes with timeline well met, baada ya zoezi nimejikuta na kinyiha nakijua na kindali pia !! dduu!!
wasalipa mmwee!! hilo ndo neno ambalo kila mkulima niliemaliza kuongea nae nilimwambia!! so kwa maana nyingine hilo ndo lilikua la kwanza kulimkremu!!! mwee wasalipa we!!!! meang Ahsante!!!, lilifuatiwa na Pozile!!!( hujambo?)
Ukipenda kazi yako daima utainjoy so pamoja na uchovu wa kupanda na kushuka milima ila unajikuta unaenjoy tu!! siri hiyo nakuibia so penda kazi yako utainjoy tu no matter wht do ither people say abt it!!!!!
Bwana shamba!! love being the one!!! ALUNAS

 its somhow boring repeating the same questions to 20 people on the same day !! ila ndo kazi sasa  Alunas, do it!
  haya sasa tuendelee baba umesema ulitumia mbolea gani tena...............?
 choka mbaya kidogo akae chini pole kaka!! mwite D. T, he also love his job so we always have fun in the field!!
yaan utasimama staili zote ila kazi lazima iishe mama!! mwee nahis miguu inalegea!!

No comments:

Post a Comment