Friday, 25 February 2011

MUSA village, monduliiiiiiiii! kwa Lowassa

nilibahatika kutembelea wakulima wa kahaw kjijcha Musa! kipo wilayan monduli -Arusha jaman ni mbali,unapshana na wanyama kama tembo njian! yan its had to imagiine kwamba utakuta wa2 huko!! kuna baridi mbaya!!!!! bt the gud thing ni kwamba wakulima wa huko wanajituma sana especially women!!!!! great!~ tunaweza bana!!!!!

No comments:

Post a Comment